Shirika Ia Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Asubuhi ya Alhamisi, tarehe 29 Aban 1404, Kanali Gholamreza Soleimani, Mkuu wa Taasisi ya Basij ya Walioonewa nchini Iran, katika mnasaba wa kukaribia Wiki ya Basij, alifanya ziara katika mkoa wa Qom na kukutana na baadhi ya maulamaa na marjaa na kufanya mazungumzo nao.
20 Novemba 2025 - 15:40
News ID: 1752456
Your Comment